TIS website in Spanish now online

Nyumba Janja duniani Kote.

TIS Automation Group wametanua biashara zake kwa wateja duniani kote na sio tu kwa wale wanaoishi karibu na nchi zilizoendelea. Tunataka kuwafikia watu wote bila kujali utaifa wao, tabaka lao, bajeti waliyonayo n.k. na hiyo ndiyo sababu watengenezaji wa tovuti ya TIS wameongeza tafsiri za lugha mbalimbali ili kurahisisha mawasiliano na wateja wake. Hivi karibuni, maudhui yetu ya mtandaoni yamekuwa yakipatikana kwa Kihispania. Tovuti rasmi ya TIS ndipo mahali sahihi pa kuanzia, kama unaongea Kihispania na unataka kufanya jengo lako liwe la kidigitali, bonyeza hapa tu ili kupokea maudhui kwa lugha ya Kihispania.

Kuna nchi nyingi zinazoongea Kihispania kama vile Argentina, Bolivia, Chile, Colombia, Costa Rica, Cuba, Jamhuri ya Dominika, Ecuador, El Salvador, Guatemala, Honduras, Mexico, Nicaragua, Panama, Paraguay, Peru, Puerto Rico, Uruguay, Venezuela na Hispania.

Kupata ofisi za karibu za TIS unatakiwa kubonyeza vitufe vichache tu, hakikisha tu unachagua lugha yako unayoipendelea kwenye sehemu ya lugha katika ukurasa wa nyumbani. Tunakuwezesha kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

TIS Website News Image
TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK