TIS dealer participated in Lights Exhibition in New Delhi

Nyumba yako Ni Ukumbi wako Binafsi wa Filamu ukiwa na TIS Technology – Dondoo za onyesho la India 2018; Kusimamia Idadi Kubwa ya LED isiyo na Idadi

TIS Automation Group ilikaribisha wateja na washirika wengi kutoka pande zote za dunia waliokuja kutembelea onyesho la taa mjini New Delhi. Wauzaji wetu rasmi ndani ya India ambao ni Mayfair Enterprises waliwasilisha bidhaa za TIS na kutambulisha nguvu ya DMX controller kutoka TIS, mfumo wa taa wa TIS wa kung’arisha mazingira yako na kuwa kama uringo wa kuigizia filamu.

TIS DMX controller ni kifaa janja suluhishi kwa ajili ya KUWASHA/KUZIMA na kupunguza mwanga wa taa za stejini na kutengeneza mbwembwe. Bidhaa hii inaweza kuwekewa mipangilio na taa za aina nyingi za RGBW na inakupa uwezo wa kusimamia mwanga pia. Inakuwezesha kusimamia bila ya haja ya kuwepo karibu na inaingiliana na taa za LED za aina nyingi, inaweza kuwa sehemu moja wapo ya upande wa pili wa mradi wa kijanja.

Kwa kuzingatia matokeo ya matumizi ya DMX katika miradi tofauti tofauti ya makazi na ya kibiashara, wageni katika onyesho hili la kimataifa walibadilishana mawazo juu ya nishati na kujiendesha kwa siku za mbeleni na wataalamu katika banda la TIS.

Controller zingine za Taa katika bidhaa zingine za nyumba ya kijanja ziliwasilishwa katika banda, wateja kutoka maeneo yote ya India walionyesha kuvutiwa na teknolojia ya kisasa ya TIS katika kujiendesha kwa nyumba.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK