TIS maroc participated in Technology fair in Casablanca, Morocco

Sikia Sauti za Namna Mpya ya Maisha ya Kijanja

TIS ilihudhuria maonyesho ya ... fair kuonyesha bidhaa zake mpya za Kujiendesha Nyumbani ikiwemo DALI controller

TIS Maroc SRL ilifanya maonyesho katika tukio la kiteknolojia na walitambulisha kutoka TIS Digital Addressable Lighting Interface (DALI); namna ambayo inawezesha kusimamia taa tofauti. DALI 63 inafanya iwezekane kutazama aina zote za taa (ikiwemo zinazotoa mwanga mweupe, LED n.k.) ballasts na drivers. Kileosura (interface) hiki kinawezesha channel 64 na kama zitaunganishwa pamoja kwa kutumia mfumo wa TIS BUS, zinaweza kusimamia taa moja moja zisizo na idadi, makundi ya taa, na kurusha tukio (scene broadcast). Kuokoa nishati na nguvukazi ni baadhi ya mambo mengi ambayo ni faida za usimamiaji elevu huu. Kusimamia kwa sauti, kuingiliana na kihisio cha mwendo (motion-sensor compatibility), na kusimamia kwa rimoti bila haja ya kuwepo kwa kutumia app ya simu ya TIS pia umewezesha kurahisisha mambo kwa kiwango kikubwa.

Wageni katika banda la TIS kutoka katika miji mingi ya Morocco kama vile Agadir, Kenitra, Oujda, Rabat, Meknes Salé , Marrakesh, na Tangier walipata fursa ya kugundua ni nini kipo nyuma ya teknolojia ya kisasa inayotumika kwa wingi zaidi na namna biashara na maisha yao yanaweza kubadilishwa nayo.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK