TIS Vietnam booth at VietBuild expo

Ubunifu wa TIS katika Kubuni Motor za Kijanja kwa Matumizi Mbalimbali

Motor elevu zilikuwa ni vifaa janja vipya vya kidigitali kutambulishwa katika onyesho la VietBuild mnamo Mei, 2017. TIS Smart Home Vietnam JSC alitambulisha kifaa chetu suluhishi kipya kwa ajili ya usimamiaji wa kiwango cha juu wa mapazia.

TIS Motors sasa zinapatikana kwa ajili ya kusimamia vifunika madirisha ya ndani na kivuli. Huu ni mfululizo wa kifasheni ambao unabeba ndani yake kifaa janja chenye matumizi tofauti katika mapazia kwenye maeneo mbalimbali. Muundo wa TIS smart motors unawezesha usimamizi wake kuwa mzuri, unaokoa nishati, matumizi madogo ya umeme pamoja na kuhifadhi muonekano wa nyumba kwa kupitisha nyaya zote sakafuni/ukutani. Ulinzi wa nyumbani pia unakuwa umeboreshwa punde tu baada ya moduli hizi kuwekewa maelekezo ya kufungua/kufunga mapazia katika nyakati fulani na uwezo wa kusimamia mwenyewe ukiwepo au kwa kutumia rimoti kunafanya mfululizo huu kuwa unaofaa kwa mtumiaji yoyote. Mtandao wa motor unakua na ufanisi na rahisi kutumia.

Washiriki wengi kutoka Mji wa Ho Chi Minh, Hanoi, Nha Trang, Hoi An, na Hue walitembelea banda la TIS na kuweza kuona kazi za motor hizi. Walishirikiana nasi katika kujadili hotuba pamoja na mkakati wakubadilisha maisha ya sasa kidigitali.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK