TIS Russia participated in HI-TECH BUILDING

TIS Walitembelea HI-TECH BUILDING mjini Moscow 2015-2016

Panel za kijanja mpya zilizotengenezwa na TIS i.e. Mfululizo wa Terre, zilizinduliwa katika maonyesho ya HI-TECH BUILDIN, moja ya jukwaa la wataalamu wa soko la bidhaa za kujiendesha majumbani nchini Urusi na CIS. Maonyesho haya ya kibiashara ni mahali ambapo wasambazaji muhimu wa bidhaa na wateja au kirahisi zaidi mafundi wa teknolojia elevu wanakutana kila mwaka na kubadilishana utaalamu na kupata maarifa muhimu.

Diatonik LTD, muuzaji rasmi wa TIS ndani ya Urusi walisimamia banda katika maonyesho haya na kutambulisha panel za TIS Terre. Mfululizo huu umetengenezwa kwa kwenda na fasheni na kama ilivyo jina lake ambalo kwa Kilatini linamaanisha dunia na vitu vyake asili. Panel za Tere zinapatikana katika vifaa vinne; Terre 4 Gang Touch Panel zinasaidia na usimamizi wa taa, mapazia na mandhali, Terre AC Control Panel inasimamia joto la chumba, kasi ya feni na kuongeza joto katika sakafu pia inaweza kuonyesha kumbukumbu na kukukumbusha, Terre Music Control Panel usimamizi wa muziki wa kiwango cha juu  na una skrini ya OLED 1” kwa ajili ya kuonyesha kumbukumbu /taarifa, na mwisho kabisa  Terre Hotel Panel inaweza kuwekewa maelekezo na Terre four gangs zote ili kuendana vyema na mpangilio wako wa hoteli.

Wageni wengi walifika kutoka maeneo yote ya Urusi kama vile Saint Petersburg, Novosibirsk, Yekaterinburg, Nizhny Novgorod, Kazan na Chelyabinsk.

Mfululizo huu elevu ulikuwa ni sehemu ya maendeleo makubwa ya bidhaa janja za nyumbani zilizoonyeshwa katika onyesho hili la HI-TECH BUILDING kwa miaka miwili na kutengeneza fursa kwa wataalamu na washiriki kujadili masuala ya matumizi ya teknolojia elevu na ufanisi wa matumizi ya nishati katika dunia ya leo.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK