TIS's integration with Intesis Box for BACnet and VRF control

Teknolojia ya Ulimwenguni; Muunganiko Mpya wa TIS

Kama unahitaji kujua zaidi juu ya uwezekano wa vitu unavyoweza kuvifanya ukiwa na vifaa vya nyumbani vinavyojiendesha unaweza kuangalia muunganiko baina ya vifaa suluhishi elevu tofauti tofauti na mitandao.

Wateja wanaweza kuhakikisha ya kwamba miradi inamalizika ndani ya wakati na kwa kutumia suluhisho bora kabisa lililopo sokoni kwa sababu ya uwepo wa vifaa vya kijanja suluhishi vingi kwenye soko. TIS Automation Group imepiga hatua moja mbele kuongeza ubora unaotolewa kwa kuungana na IntesisBox technology ili kusimamia mfumo wa kiyoyozi wa VRF kwa kutumia MODBUS RTU na itifaki (protocol) ya BACNET.

Intesisbox inakupa wigo mpana wa njia za mawasiliano katika gateway na interface huku ikiwa na uwezo wa udhibiti na usimamizi wa mielekeo miwili (supervision and bidirectional control). Inaruhusu kutazama mifumo ya HVAC na inaokoa umeme. Teknolojia nyuma ya itifaki hii inatuwezesha wazalishaji kutoka TIS kukupa vifaa janja vilivyo rahisi kutumia na vya kuaminika kwa mradi wa aina yoyote.

Ikifungwa pamoja na itifaki hii, mtandao wa TIS umeboreshwa zaidi na kuwa unaoweza kubadilika na unaoweza kufanya kazi nyingi zaidi.

TIS technology inakuwezesha kufanya mambo mengi yasiyo na idadi katika nyumba yako janja kwa msaada wa vumbuzi mbalimbali za IntesisBox; haijalishi unaishi wapi katika dunia hii, hakika utapata matumizi ya kipekee katika kuwasha taa, kudhibiti joto, multimedia, ulinzi na zaidi katika vifaa suluhishi vya TIS.

TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK