TIS dealers participated in more than 6 building expos in Iran this year

Vuka Mbele Zaidi ya Matarajio; TIS Ilizindua KNX Converter.

“Haijalishi kifaa chako cha kidigitali kiko chini ya tag gani, itifaki ya TIS inaruka vikwazo vyote kwa kutanua uthibiti elevu juu ya vifaa vya nyumbani kwa kuunganisha na mtandao wa KNX.” Hiki ndicho wauzaji rasmi wa TIS walikiainisha wakati wa onyesho katika miji tofauti ya Iran. Gostaresh Dadeh-Pardazi Ava aliendesha semina kadhaa na maonyesho kutambulisha TIS-KNX converter pamoja na bidhaa zingine za TIS smart home. Module hii mpya ni daraja la mtandao wa TIS BUS na KNX kwa urahisi wa kusimamia taa, viziba mwanga dirishani, shutters, HVAC, mfumo wa ulinzi, usimamizi wa nishati, mfumo wa sauti, skrini, kusimamia kwa rimoti n.k. KNX counter ni bidhaa nzuri inayotokana na teknolojia ya kisasa na mtumiaji anaweza kufaidika kutokana nayo kwa kuishi kijanja.

Wataalamu wetu walijaribu kuonyesha matokeo halisi ya utumiaji unganishi wa TIS BUS-KNX katika kuboresha nyumba kujiendesha ndani ya miaka kadhaa iliyopita.

Maonyesho yalifanyika katika miji mingi kama vile Tehran, Karaj, Isfahan, Sari , Rasht, Qazvin, Mashhad, Yazd, Kerman, Bushehr, Shiraz na Ahvaz.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK