TIS's Mumbai Seminar in India

Kozi za Kipekee za Hali ya Juu Kutoka TIS Automation Group – India, Aprili 2014.

Tukio hili la siku tatu lilifanyika Mumbai, India, ambapo wauzaji rasmi 9 walipokea mafunzo ya juu kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TIS, Turath Mazloum. Kozi hii ilitengenezwa kwa ajili ya wahandisi walio katika fani ya kufunga(installing), mitandao (networking), taa (lighting), AV, na kujiendesha kwa nyumba ili kuboresha uelewa na ujuzi wa wanachama.

TIS Automation Group, ni wasambazaji wenye tuzo za ubora katika usambazaji wa bidhaa janja za nyumbani walikua bega kwa bega katika kutoa mafunzo kwa timu yake ya wasambazaji kuwapa ujuzi unaohitajika katika kufunga vifaa vya kisasa kwa usalama, ufanisi na kitaalamu India. Kutanua biashara yake katika eneo hilo na kuongeza mauzo na usafirishaji wa bidhaa. Washiriki walipokea mafunzo ya kina juu ya teknolojia na ufundi unaotumika nyuma ya itifaki ya TIS, bidhaa zake kuu, ufungaji, pamoja na utangazaji katika masoko.

Kwa sababu wasambazaji wengi waliofanikiwa walianza kwa kuwa na vyeti vya uthibitisho kutoka TIS kwa kupitia programu maalumu ya ufundi, kujisajili kuhudhuria madarasa haya ni njia bora kabisa ya kufanikiwa katika soko la bidhaa za kujiendesha majumbani. Kozi hizi mbalimbali zimetengenezwa ili kuwasaidia wahudhuriaji kuwa na ufahamu mkubwa zaidi wa kimaarifa pamoja na wa kufanya katika teknolojia elevu na mafunzo haya ya kitaalamu yanafanyika katika vituo mbalimbali vya mafunzo vya TIS vilivyopo duniani kote. Washiriki wanapokea maelekezo maalumu kutoka kwa wataalamu wa TIS na kupata mafunzo ya juu ya namna hatua za kufunga vifaa janja vya nyumbani zinavyofanyika. Programu hizi zinawafaa zaidi wafungaji wanaoanza pamoja na wale wenye vyeti. Jisikie huru kuwasiliana nasi kwa kupitia https://www.tiscontrol.com.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK