TIS's integration with Daikin Modbus VRF system

Teknolojia ya Kuvutia ya TIS pamoja na Diakin.

Uwepo wa washirika wetu wengi duniani kote, kumewezesha mamia ya nyumba za kijanja kufanikiwa kujengwa au kufanyiwa marekebisho ili kusaidia watumiaji waweze kupata ladha ya kutumia teknolojia janja iliyo kwenye uwezo wa juu ndani ya nyumba zao kwa kupitia vifaa vya kibunifu vya kujisimamia nyumbani.

TIS technology imedhamiria kuwawezesha watu, popote pale walipo, kuchukua hatua kutimiza ndoto zao na kutanua biashara zao pamoja na/au kuvuka changamoto za matumizi makubwa ya umeme, unatakiwa kufikiria kutumia vifaa janja suluhishi kutoka TIS. Je, unafikiria kuboresha hoteli, mgahawa, sinema, au ofisi? Au tu umechoka kuhangaika na joto linalopanda na kushuka ndani ya nyumba yako?

Tunakuletea habari njema. TIS Automation Group sasa wanakuletea zaidi: kwa kushirikiana na  Diakin VRF Modbus system, mzalishaji aliyebobea wa viyoyozi, vifaa suluhishi vya TIS sasa vinafanya kazi na vifaa vya Diakin ili kuweza kukupatia teknolojia elevu katika ubora wa juu kabisa. Daikin Industries Ltd. Ni kampuni ya kimataifa ya Japan inayojihusisha na uzalishaji wa viyoyozi yenye makao yake makuu mjini Osaka.

Kwa msaada wa ugunduzi wa kiyoyozi cha kawaida na chenye njia ya hewa zaidi ya moja (split and multi-split air conditioners), vifaa vya TIS, vinapofungwa pamoja na vifaa vya Diakin, vitakuhakikishia mazingira ya mustarehe ndani. Kila mradi, iwe ni katika makazi ya ndani tu au mradi wa kiwandani, unaweza kufungwa na vichuja hewa janja (smart air filters) na viyoyozi ambavyo vinarekebisha kiwango cha hewa na joto la ndani pamoja na kuhifadhi kiwango cha unyevu kuwa kizuri, na unajua nini? Vyote hivi vinafanyika bila ya haya ya kubonyeza au kutoa agizo lolote lile.

Funga mifumo ya VRV (au mifumo ya VRF kama baadhi ya wazalishaji wanavyopenda kuviita), boresha nyumba yako na okoa umeme mwingi.

TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK