Ubunifu wa kiwango cha juu katika maonyesho ya Canton Fair kipindi cha masika 2019; TIS Ilizindua Bidhaa Mpya 2.
Maonyesho ya Canton Fair, ni maonyesho ya bidhaa za umeme na za kielektroniki, vifaa vya ujenzi, bidhaa za viwanda n.k. yalifanyika Guangzhou ambao watu wengi wanatembelea kuona maendeleo mapya ya teknolojia katika moja ya maonyesho ya biashara ya zamani kupata kufanyika China.
Guangzhou Automation Technology, ofisi ya TIS China, iliwajibika kusimamia banda na kuwakilisha bidhaa suluhishi mpya za TIS kwa wageni waliovutiwa.
Bidhaa zifuatazo ziliwasilishwa kwa mara ya kwanza katika maonyesho hayo:
Kihisio cha Afya (Health Sensor) maalumu kwa ajili ya kuwezesha programu za afya kwa kuhifadhi ubora wa hewa kwa kukagua mara kwa mara na kutazama kiwango cha joto na unyevu. Sifa za hiki kifaa zinahusisha CO, VOC, CO2, joto, ukali wa mwanga, kipaza sauti, njia 3 za kidigitali (3 digital inputs) n.k. zinakiwezesha kutumika katika mahospitali, kliniki na katika taasisi zingine za afya.
Kituo cha Hali ya Hewa (Weather Station) ni suluhisho lingine kutolewa na TIS hivi karibuni inayoweza kukupa taarifa za hali ya hewa kabla ya wakati. Kihisio hiki kina kipimo cha kasi ya upepo na uelekeo wake, wingi wa mwanga, joto, unyevu, UV na kiwango cha mvua. Suluhisho hili linaweza kutumika kuepusha ukuaji wa kuvu(mould) katika misimu ya joto na yenye unyevu.
Watu wengi duniani kote walifika katika maonyesho haya na TIS Automation Group inayo furaha kupata nafasi ya kutambulisha bidhaa hizi mpya.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha