Kihisio cha Gesi
Kihisio hiki cha gesi kinailinda familia yako & vitu vyako vya thamani dhidi ya gesi za asili.
Taarifa katika simu
Pokea taarifa moja kwa moja katika simu yako ya mkononi
Simamia kila kitu popote pale ulipo
King’ora kitahakikisha kila janga linagundulika
Kihisio hiki ambacho ni rahisi kutumika kinawasha king’ora pale gesi asili ikiwa nyingi & na hivyo kukuwezesha kuboresha afya na usalama nyumbani kwako
Inafaa kuhakikisha usalama katika baadhi ya maeneo
Inaweza kufungwa kwa urahisi katika majiko ya hotelini, vituo vya vyakula n.k.
Itaendelea kufanya kazi mchana na usiku
Nyongeza, inaweza kuunganishwa na vifaa vingine ndani ya nyumba yako janja
Ruhusu kifunge bomba la gesi chenyewe moja kwa moja pale kiwango cha gesi kikizidi hewani
Kuwa na furaha pamoja na watu unaowapenda
Kifaa hiki kimetengenezwa kumlinda kila mmoja
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha