Gateway inaunganisha vifaa vyako ili uweze kuvifikia nyumbani kwa kupitia simu yako janja.
COMMUNICATION IP MODULE
IP Port yenye RS232 na RS485 ports inatumika kuwekea programu na kudhibiti vifaa vya mtengenezaji wa 3 na pia kwa kuunganishwa na app yetu ya bure ya iOS na kwa vifaa vya Android.
Kifaa cha TIS IP COM, kinakuwezesha kukuza muunganiko na mawasiliano na itifaki za kujiendesha (Automation Protocols) kutoka kwa mtu wa tatu (3rd party).
HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.
UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha