Wifi Digital inputs module  – Kujiendesha na TIS Wifi Digital inputs module  – Kujiendesha na TIS

Boresha namna unavyotumia vifaa visivyokuwa na waya kwa kutumia TIS AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS.

ACM-3Z-IN AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS ni mode ya WiFi inayokuwezesha kubadilisha swichi ya kawaida, na kuwa swichi janja ya kisasa yenye uwezo wa kuendesha kifaa chochote cha TIS Air. Pia, inaweza kuunganiswa na vihisio”sensors”, ikiwemo vihisio vya sumaku vinavyotumika kwa ajili ya ulinzi wa mlangoni na dirishani, N/C N/O PIR detectors, TIS Water Leakage sensors, na taarifa yoyote kavu iliyounganishwa kwake.

    • Wifi imewezeshwa

    • Kusimamia kwa Android

    • Kusimamia kwa Simu janja

    • Mfumo wa Usalama

    WHITE

    UPC 658921796344

    EAN 0658921796344

    BARCODE (UPC)

    ACM 3Z – inputs za kidigitali – TIS Smart home
Badilisha swichi za zamani kuwa swichi za WiFi Badilisha swichi za zamani kuwa swichi za WiFi

Muda mwingine inaweza kuwa vigumu kukubali mabadiliko, lakini kwa TIS sio lazima iwe hivyo.

TIS AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS ni module ya WiFi inayokuwezesha kubadilisha swichi ya kawaida na kuwa swichi janja ya kisasa inayoweza kuendesha kifaa chochote cha TIS Air.

Unganisha vihisio vya ziada katika uendeshaji kwa kutumia WiFi Unganisha vihisio vya ziada katika uendeshaji kwa kutumia WiFi Unganisha vihisio vya ziada katika uendeshaji kwa kutumia WiFi Unganisha vihisio vya ziada katika uendeshaji kwa kutumia WiFi
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Nyumba ya kisasa Kujiendesha na TIS Nyumba ya kisasa Kujiendesha na TIS

Tunajua kile unachokitaka, na tutakupa ubora unaostahili nyumbani kwako. Bidhaa hii inaweza kuunganishwa na kihisio cha moshi au kihisio cha sumaku kwa ajili ya ulinzi wa mlango na dirisha.

Mfumo wa usalama wa TIS, kujiendesha kwa kutumia WiFi Mfumo wa usalama wa TIS, kujiendesha kwa kutumia WiFi

Sema hapana kwa wizi!

Weka nyumba yako salama kwa kutumia mfumo wa kuwezesha kengele kujipiga yenyewe pale mtu asiyejulikana anapoingia.

Kuvuja kwa maji, linda nyumba yako, Kujiendesha na TIS Kuvuja kwa maji, linda nyumba yako, Kujiendesha na TIS

Kaa kwa amani ukiwa na TIS! Hakuna tena kuvuja!

Ina uwezo wa kugundua maji yanapovuja, na itakutumia taarifa moja kwa moja kwenye simu yako.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK