Sauti inakuwa bora ukiwa na spika za juu kwenye dari za TIS.
Zimetengenezwa kwa staili ya kuvutia bila kuwa na kona zinazozungua na ni rahisi kufunga, spika hizi zinazofungwa juu ya dari zinatoa sauti safi na yenye kiwango cha hali ya juu, 100 watts 8 ohms, and a 6.5” polypropylene. Mfuniko wake unafunika na kufika karibu na kugusa darini, hivyo inazipa mwonekano wa mwisho mzuri kabisa. Zinapatikana pia katika mfuniko wa nje wa umbo la pembe nne.
Furahia kwa kiwango cha juu unapokuwa nje kwa kutumia spika yetu imara na isiyoingia maji inayofungwa katika ukuta wa nje.
Kamwe hatujapitwa na fasheni, spika za TIS zisizo na fremu za kufunga katika dari zinakupa sauti bora katika sehemu yako nzuri.
Furahia unapokuwa katika bustani yako ukiwa na spika zetu za kutumika bustanini zenye muundo wa jiwe. Zinazofaa kwa mandhari yako.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha