Swichi ya Mandhari ya 4-Gang
Kamilisha Zaidi kwa Vichache
Washa/zima taa, na uwezeshe mandhari fulani kwa kubonyeza mara moja/mara mbili/kwa kushikilia kitufe.
Ni rahisi 100% kuweka mandhari tofauti
Unabonyeza tu kuweka kutoka katika hifadhi (presets)
Kifaa maarufu ambacho kinakidhi mahitaji mengi na kukuwezesha kuweka mandhari unayopendelea
Rafiki-kwa-mtumiaji & rahisi kutumia
Kifaa hiki suluhishi kinarahisisha maisha ya watumiaji wke
Kinafaa watu wenye ulemavu
Kifaa hiki rahisi ni kubebeka unaweza kukibeba unapokwenda popote na uachane na ugumu unaoambatana na teknolojia za zamani
Nyumba yako inajali kile unachokitaka.
Kitufe kimoja tu kitang’arisha sebule yako yote.
Bandika na ucheze
Bandua gundi, na ukiweke popote unapoona panafaa kupatumia
Weka juu ya sehemu yoyote kirahisi
Weka ukutani juu ya glasi, mbao, chuma n.k.
Ni bora na inatumia swichi
Imetengenezwa kwa viwango vikubwa vya utengenezaji ikiwa na betri zinazodumu.
Inafaa kuwekwa ndani ya chumba cha ofisi, chumba cha kulala, kibarazani, chumba cha kusomea, jikoni n.k.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha