Kuta Zilizo Safi na TIS

Vidhibiti huwa kawaida vinawekwa katika ukuta pembeni ya milango, na hilo linafanyika katika swichi ya aina yoyote ya ukutani, iwe ni kwa ajili ya taa, thermostats, n.k

Idadi ya swichi za taa inatofautiana kwa kutegemea na ukubwa na utengenezaji wa jengo. Kwa mfano, nyumba ya starehe inahitaji taa nyingi sana. Sasa, fikiria jumla ya idadi ya swichi zitakazohitajika kwa ajili ya vipunguza mwanga vyote, FCU thermostat, floor heating thermostat, ceiling fan regulator, volume control, security console, curtain or shutter switches, na zaidi, na tuna ukuta uliojaa swichi kubwa na ndogo, jambo ambalo ni changamoto kwa mbunifu wa ndani yoyote. Wafungaji wanaweza kupata tabu pia, kwasababu mfumo wa kila kifaa unatabia yake na ukubwa wake, jambo linalofanya upangiliaji mzuri kuwa mgumu kuufanya.

Swichi na controllers nyingi zenye muonekano mbaya ukutani

Kihistoria, ingekuwa ni gharama kubwa sana kuweza kuwa na msambazaji mmoja kusambaza vifaa vyote hivi ambavyo vinaweza kutekeleza amri zote zinazohitajika na pia, ikiwezekana, kutosha katika mpangilio mzuri wa nyumba.

Kampuni ya TiS inakuletea Luna TFT, panel yenye kioo cha kugusa ya ukutani iliyotengenezwa kutimiza mahitaji ya wateja wetu na zaidi. Panel hii sio tu kwamba inafanya kazi kama thermostat kwa ajili ya kuleta joto kwenye sakafu na FCU, lakini pia inaweza kutumika kudhibiti taa, sauti, ulinzi, kasi ya feni, mapazia, shutters, na zaidi.

Luna panel ya kisasa kutoka TIS- Thermostat moja tu ukutani inasimamia kila kitu

Na kama nyoneza ya vitufe vingi va kuvutia kwa ajili ya uendeshaji wa mahitaji ya mtumiaji, panel hii pia ina kalenda, saa, mita ya matumizi ya nishati na inaonyesha hali ya hewa.

Vitu vyote hivi vinafanyika katika panel moja, nah ii ndiyo sababu Luna TFT, ni moja kati ya vifaa bora vya kisasa leo katika ulimwengu wa teknolojia. Zaidi ya hapo, kifaa hiki kinatosha katika boksi la kawaida la ukutani ikiwemo 2”x4” saizi ya Marekani, 3”x3” saizi ya Uingereza, na pia kwa Ulaya saizi ya boksi la duara. Ukiweka panel moja tu ni faida kwani inapunguza mabomba ya nyaya, nyaya zitakazotumika, nguvu kazi, na pia muda wa ufungaji.

TIS Luna TFT panel iliyofungwa katika mojawapo ya miradi

Panel hii ya ukutani inafanya kazi kwa mpangilio wa vifaa vyenye waya na visivyo na waya. Inaweza pia kuendeshwa kwa kutumia rimoti (kama ina uwezo wa miale ya infrared) au kutoka upande wowote wa dunia kwa kutumia programu ya simu ya TIS inayopatikana bure. Inauwezo wa kuingiliana na Amazon’s virtual assistant, Alexa. Kwa kutumia njia zote za kudhibiti, ni rahisi sana kusema kuwa kinatosha mahitaji na matamanio yote ya wananchi.

Panel hii iliyojikunja pia imewekewa na kitoa sauti na itatuma ujumbe mfupi. Jambo hili linaiwezesha kutoa taarifa kama ukitokea moto au maji yakivuja au hali yoyote ya dharura ndani ya nyumba yako. Ukiwa na Luna TFT, hautasahau kufunga milango na madilisha au kuvaa nguo zenye joto kipindi cha baridi.

TIS Luna TFT pia inafanya kazi kama mfumo wa kupiga kengele ya dharura

Tunashukuru kwa Teknolojia ya GPS ndani ya programu ya simu ya TIS, jambo lingine kuhusu suluhisho hili la kisasa ni kwamba, unaweza kuweka kiyoyozi kuwa katika joto unalopendelea kabla haujafika nyumbani na kuokoa umeme wakati ukiwa haujafika bado.

TIS Luna panel ikiwa imefungwa katika nyumba ya kisasa yenye kuta za vioo

Panel hii ya Luna TFT imetengenezwa kuendana vyema kabisa na mazingira yako ya ndani kwa kuacha ukuta ukiwa msafi na wa kisasa.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK