Valvu ya Gesi/Maji
Imara zaidi ya ilivyowahi kuwa
Toka nyumbani kwako ukiwa na amani & ufurahie maisha yako.
Iunganishe katika vifaa vyako janja, na uanze kusimamia vifaa vyako.
Panga ratiba za kila siku.
Wezesha vifaa vyako vifanye kazi vyenyewe moja kwa moja.
Weka ratiba mapema kulingana na mahitaji yako.
Okoa muda mwingi kwa kufanya vifaa vya kumwagilia maji na vifaa vingine vya maji/gesi vifanye kazi vyenyewe moja kwa moja
Inaweza kufanya kazi na simu zaidi ya moja. Swichi moja au simu moja tu inaweza kusimamia valvu zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
Faida:
Kujibu kwa haraka
Matumizi madogo ya umeme
Uwezo mkubwa wa kuingiliana na vifaa
Usalama mkubwa
Inaweza kutumika kwa valvu za maji na gesi katika maeneo tofauti tofauti, kama vile jikoni, katika bustani, majani ya mbele ya nyumba, shambani, mfumo wa umwagiliaji n.k.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha